Hii course ni ya wasee wanadai kuingia kwa game ya laptop repair na hardware maintenance bila stress. Ntakufundisha vile utachambua laptop, spot shida, fix mafault na kuanzisha ka-hustle yako.
Utajua basic laptops troubleshooting, kubomoa na kuassemble laptops, kufanya laptop chip-level repairs, na hata kupiga biashara,kuhandle ma-clients, kupata spares, na kupush services zako WhatsApp.
By the time umemaliza, utakuwa na skills za kuinspect, kufix na kuhustle. Utakua na capacity ya kuanzisha repair shop, mobile service na pia kujiweka kama tech beast wa area.
Target Audience
-
Wasee wanadai tech hustle.
-
Mabiz wanataka kuadd laptop repair kwa service zao
-
Anyone anataka skill ya kudiagnose phones & repair laptops bila kulipa mafundi kila time
Utatoka na Laptop specilist Certificate na confidence ya kupiga repairs, kuhandle ma-clients, na ku-run biz yako kwa ground.


